MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Profesa Mwesiga Baregu, amefichua siri ya madai ya usaliti ndani ya
chama hicho.
Akizungumza na Mtanzania katika mahojiano maalumu
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam wiki hii, Profesa Baregu alisema
kiini cha tuhuma na madai ya usaliti ndani ya Chadema ni kutoaminiana na
kukosekana kwa uvumilivu.
Alisema kitendo cha
↧