SERIKALI ya Uingereza inatafakari ombi la
Tanzania la mabehewa na injini za treni, ambayo nchi hiyo haizitumii
tena, lakini bado ni nzima kwa ajili ya kusaidia kuimarisha usafiri wa
reli katika Tanzania na hasa wa Jiji la Dar es Salaam.Ahadi hiyo
ya Uingereza ilitolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza, Nick Clegg
wakati wa mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete kwenye hoteli ya
↧