Ufoo saro jana amefanya ibada na kusema "Namshukuru Mungu kwa
kuniponya"... Hiii ni mara ya kwanza kwa Saro kuzungumza tukio hilo tangu
aliporuhusiwa kutoka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu MOI ya
Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Katika ibada hiyo iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheli
Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibamba Jimbo la Magharibi Ufoo
↧