"CHADEMA haina uwezo wa kushika dola kutokana na mfumo wake wa utawala kuwa...
Chama cha mapinduzi ( CCM) manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kimeendelea kusisitiza kuwa chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA hakitaweza kushika dola kutokana na mfumo...
View ArticleRose Ndauka amwanika binti yake "Naveen" hadharani.
Rose Ndauka ambaye ni mama anayetamba ndani ya filamu za kibongo hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naveen. Upekuzi wa mtandao huu umefanikiwa kuinasa picha ya Naveen...
View ArticleDkt. Emmanuel Nchimbi akabidhi ofisi rasimi kwa waziri mpya wa wizara ya...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa neno fupi wakati wa hafla fupi ya Makabidhiano rasmi ya Ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mhe. Mathias...
View ArticleMakamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akutana na mnadhimu mkuu wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu...
View ArticleSerikali yapunguza gharama za kuunganisha umeme majumbani
SERIKALI imeamua kupunguza kwa kiasi kikubwa bei ya kuunganisha umeme majumbani na kufikia sh. 27,000/ kwa wanavijiji wanaoishi kwenye maeneo ambayo bomba la gesi linapita. Hatua hiyo imetangazwa jana...
View ArticlePicha za mkutano wa CHADEMA mkoani Iringa leo ambapo Dr. Slaa amevuna mmoja...
Hii ndio Helbopta iliyowakusanya wana Iringa leo uwanja wa Mwembetogwa Dr Slaa akiwasili katika kiwanja cha Mwembetogwa leo Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia...
View Article"Deni la Taifa wanafaidi wezi wachache, tunalipa wote."...Zitto Kabwe
Leo nimeandika kuhusu Deni la Taifa kukua kwa kasi na kufikia tshs 27 trilioni mpaka Desemba 2013 kutoka tshs 10 trilioni mwaka 2005. Baadhi ya Watalaamu wanajenga hoja kuwa kukopa sio shida, bali...
View ArticleMzee Dude wa FUTUHI afariki dunia
MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni.. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali...
View ArticleRais Kikwete awatembele wananchi walioathirika na mafuriko katika Mkoa wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameliamuru Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuanza mara moja kazi ya...
View ArticleTuhuma za Zitto Kabwe ( CHADEMA ) kutoka kimapenzi na mbunge Catherine Magige...
KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna yoyote ile, wamemuonjesha machungu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa...
View ArticleCHADEMA kususia uchaguzi mkuu wa 2015 iwapo Serikali haitaboresha Daftari la...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa sharti ambalo kama halitatekelezwa chama hicho hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wala hakitapiga kura ya kupitisha rasimu ya katiba. Sharti hilo...
View ArticleLowassa aipinga sheria ya kuyafungia magazeti....Amtaka Naibu Waziri wa...
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward Lowassa, amesema anakerwa na tabia ya serikali kufungia magazeti na amemfunda Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma...
View ArticleMwandishi wa habari wa BBC Ann Waithera afariki dunia
marehemu Ann enzi za uhai wake Ann alikuwa anafanya kazi na BBC katika ofisi za Nairobi na amekuwa akiugua Saratani ya Ubongo kwa karibu miaka miwili. Ann aliwahi kuwa ripota wa BBC mjini Addis...
View ArticleCHADEMA yauchokonoa Usalama wa Taifa....Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mafanikio kinayopata yanatokana na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kutoa siri kwao. Kauli hiyo imetolewa juzi mjini hapa na Mbunge wa Mbeya...
View Article"Najaribu kutafuta mwanaume aliye mkamilifu japo kidogo....Si kwamba...
Penniel Mwingila aka VJ Penny ambaye wengi wanamfahamu kama mpenzi wa mkali wa Bongo Flava, Diamond Platinumz ambao hivi sasa hawako pamoja, anaamini kuwa ingawa hakuna mwanaume mkamilifu, kuna sehemu...
View ArticleKaburi lafukuliwa na maiti kunyofolewa uti wa mgongo
WATU wasiofahamika wamefukua kaburi la Rosa Kikwe, aliyefariki dunia mwaka 2005 na kuchukua mfupa wake wa uti wa mgongo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Jeshi la Polisi Wilaya ya...
View ArticleDr Sheni afunguka ...... Tunataka serikali mbili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaunga mkono muundo wa Serikali mbili. Dk. Shein alitoa kauli hiyo juzi, wakati...
View ArticleMhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavel Lwaitama akamatwa na...
ALIYEKUWA Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavel Lwaitama, amejikuta akipelekwa polisi baada ya kutokuwa tayari kuzungumza lugha ya Kiingereza ndani ya ndege ya Precision Air. Dk....
View ArticleNguvu za Edward Lowassa zaitesa UVCCM...Mmoja wa viongozi wake atoa taarifa...
Ushawishi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeipasua Jumuiya ya Vijana ya chama hicho (UVCCM). Mmoja wa viongozi wake ametoa taarifa iliyojaa maneno makali...
View ArticleMauaji yaitikisa nchi...Jambazi laendesha mauaji ya watu 8 kwa siku tatu...
Mauaji ya kutisha yametikisha wilaya ya Tarime kiasi cha kumfanya Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu, kutuma timu maalum kutoka makao makuu ya jeshi hilo inayohusisha kamisheni ya Operesheni...
View Article