RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaunga mkono muundo wa
Serikali mbili. Dk. Shein alitoa kauli hiyo juzi, wakati akizindua
kampeni za uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kiembesamaki, mjini hapa,
sambamba na kumnadi mgombea wa jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo (CCM).
Alisema CCM itaendelea kuunga mkono
↧