WATU wasiofahamika wamefukua kaburi la Rosa Kikwe, aliyefariki dunia
mwaka 2005 na kuchukua mfupa wake wa uti wa mgongo, kwa kile
kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Jeshi la Polisi Wilaya ya
Bunda, limethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea juzi, katika
Kijiji cha Kihumbu, Kata ya Hunyari.Ilielezwa usiku wa tukio hilo, watu hao walifukua kaburi alimozikwa
mwanamke huyo,
↧