ALIYEKUWA Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavel Lwaitama,
amejikuta akipelekwa polisi baada ya kutokuwa tayari kuzungumza lugha
ya Kiingereza ndani ya ndege ya Precision Air. Dk. Lwaitama
alikutana na dhahama hilo juzi alipokuwa safarini akitokea Dar es Salaam
kwenda mkoani Kagera, kabla ya kufika Bukoba ndege aliyopanda msomi
huyo ilitua jijini Mwanza.
Akiwa
↧