Ushawishi
wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ndani ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM), umeipasua Jumuiya ya Vijana ya chama hicho (UVCCM).
Mmoja wa viongozi wake ametoa taarifa iliyojaa maneno makali
akimshambulia Lowassa na baadhi ya viongozi wa dini akiwahusisha na
kampeni za uchaguzi wa urais mwakani.
Bila kutaja jina la kiongozi yeyote wa dini, ila tu kurejea kwa ujumla
wao
↧