CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mafanikio
kinayopata yanatokana na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kutoa siri
kwao.
Kauli hiyo imetolewa juzi mjini hapa na Mbunge wa Mbeya
Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), wakati akihutubia mkutano wa hadhara
kwenye Viwanja vya Ruanda, Nzovwe.
Alisema hatua ya nchi kuyumba, inatokana na Serikali kutowajali maofisa wa Idara
↧