Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 29 wahukumia kifungo cha miaka 3 jela kutokana na vurugu za nani...

Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, imewahukumu watu 29 kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja ama kulipa faini ya Sh400,000 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuandamana bila kibali na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti mmoja mkazi wa mabibo anusurika kuuawa baada ya kuiba simu na kuificha...

MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Absalom Kibanda,Theophil Makunga na Samson Mwigamba washinda kesi ya...

Absalom Kibanda. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam  imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikulu yavunja ukimya kuhusu 'mawaziri mizigo'....Yasema kuendeleza mjadala...

Ikulu imetaka kufungwa kwa mjadala wa kuhusu kurudishwa kwa mawaziri wanaodaiwa kuwa ni mizigo kwenye Baraza la Mawaziri na badala imetaka waachwe wafanye kazi.    Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya Kaimu Kamanda Polisi Temeke kuhusu moto ulioteketeza mali kadhaa...

Moto ulizuka jana katika ghorofa ya nne katika Jengo la GMC Heights lililopo Barabara ya Nyerere umeteketeza vitu vyote vilivyokuwamo katika chumba ambacho kinatumika kama stoo ya kuhifadhi santuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigulu Nchemba awataka watanzania kutozubaishwa na helikopta ya CHADEMA na...

Chama cha mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kinashangazwa na kitendo cha chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)kutumia Helikpota kwenye chaguzi zake huku kikidai kuwa ni mkombozi wa wananchi jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Helikopta ya CHADEMA yapotea...Viongozi wake wahaha,baadhi yao waituhumu CCM...

HELIKOPTA ya Chadema maarufu kama Chopa, juzi ilipotea angani na kusababisha viongozi wa chama hicho kushindwa kufanya mkutano katika Kijiji cha Mpwayungu wilayani Chamwino, kama ilivyokuwa imepangwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wavaa milegezo na vimini sasa kuanza kuchapwa viboko nchini Tanzania

MKUTANO Mkuu wa Kijiji cha Olgilai wilayani Arumeru umeazimia kuwachapa viboko vijana wa kiume wanaovaa suruali chini ya makalio pamoja na wanawake wanaovaa sketi fupi na suruali zinazobana. Azimio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kila raia wa Tanzania anadaiwa sh. 600,000/- ambayo ni sehemu ya deni la...

Kila Mtanzania bila kujali kama ni mtoto, mzee au mfanyakazi anadaiwa Sh. 600,000 miongoni mwa watu milioni 45 raia wote wa Tanzania. Hali hiyo inatokana na kuongezeka kwa deni la Taifa kufikia Dola za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya PAC yafanya akaguzi wa vitabu vya chenji ya Rada jijini Dar

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, (CHADEMA), Zitto Kabwe, akiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam Jumatano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge wapinga kiingereza shuleni kwa madai kuwa lugha hiyo humfanya...

MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu.  Wakati wabunge hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpasuko waanza kuinyemelea CCM...Mwanzilishi wa CCJ ayaanika majina 37 ya...

SIKU moja baada ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kutoa tamko la kumtaka aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuacha kukigawa chama kwa madai kuwa hana sifa kuwa rais, mambo mazito yamezidi kuibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

John Samwel Malecela naye amlipua Lowassa.... Aitaka Sekretarieti ya CCM...

MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Taifa, John Samwel Malecela, ameitaka Sekretarieti ya chama hicho kuchukua hatua za haraka dhidi ya wanachama wanaoharibu misingi ya chama hicho kwa kutumia fedha zao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete asikitishwa....Ni kutokana na gazeti la Rwanda kumchafua kwa...

RAIS Jakaya Kikwete, amesikitishwa na chokochoko zinazoendeshwa na gazeti la Serikali ya Rwanda, The News of Rwanda, likimtuhumu kusaidia vikundi vya waasi nchini humo. Kaimu Balozi wa Tanzania nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu afumaniwa na mwanafunzi gesti wakifanya yao bila aibu.

Ile tabia ya wazee ya kupenda dogodogo imemtokea puani mzee aliyetajwa kwa jina moja la mzee Omari.Mzee huyo alinaswa laivu akiwa gesti na denti wa shule moja ya sekondari jijini Dar (jina la denti na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi na wananchi wa Karatu wapambana kwa mawe baada ya watoto wawili...

Mamia ya wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Bashay kilichoko wilayani Karatu  wamepambana na polisi kwa kuwarushia mawe kwa kile walichodai kuishinikiza Serikali kuweka matuta katika Barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabasi yaendayo kasi yaonekana yakifanyiwa majaribio jijini Dar....Tatizo la...

Moja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa ni sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam.<!-- adsense -->

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Freeman Mbowe na wabunge wake wawili watupwa Rumande huko Iringa

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe na wabunge wawili wa chama hicho Mh. Halima Mdee na Peter Msigwa wameshikiliwa na na Jeshi la polisi mkoani Iringa kwa madai ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM mkoa wa morogoro wamcharukia mzee Malecela....Wakumbushia kauli ya Mwl...

  Ni jambo la kushangaza sana kumuona Mzee Mashuhuri na nguli wa Chama cha Mapinduzi Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu kumuunga mkono kijana aliyekiuka katiba ya Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali mbaya ya gari yatokea mchana huu maeneo ya Mikocheni jijini Dar

Gari ndogo aina ya Toyota Corolla lenye nambari za Usajili T 379 AGL,likiwa ndani ya Mtaro mara baada ya kupoteza mwelekeo likiwa kwenye Mwendo mkali. Tukio hilo limetokea mchana huu katika Barabara ya...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>