MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Taifa, John Samwel Malecela, ameitaka Sekretarieti ya chama hicho kuchukua hatua za haraka dhidi ya wanachama wanaoharibu misingi ya chama hicho kwa kutumia fedha zao hadharani kwa lengo la kutafuta umaarufu na ushawishi kwa vijana katika harakati za kugombea urais mwaka 2015.
Ushauri huo ulitolewa jana na Malecela wakati akizungumza na waandishi wa habari
↧