RAIS Jakaya Kikwete, amesikitishwa na chokochoko zinazoendeshwa na gazeti la Serikali ya Rwanda, The News of Rwanda, likimtuhumu kusaidia vikundi vya waasi nchini humo. Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Francis Mwaipaja, ameeleza hayo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari juzi, kufafanua tuhuma zilizoandikwa na gazeti hilo.
“Rais Kikwete amesikitishwa kwa uongo huu na ametoa
↧