Ile tabia ya wazee ya kupenda dogodogo imemtokea puani mzee aliyetajwa
kwa jina moja la mzee Omari.Mzee huyo alinaswa laivu akiwa gesti na denti wa shule moja ya sekondari
jijini Dar (jina la denti na shule vinahifadhiwa kimaadili). Tukio hilo la aibu lilijiri juzikati kwenye gesti moja iliyopo maeneo ya Kawe, Dar na kusababisha timbwili zito.
Chanzo cha mzee huyo kufumaniwa
↧