Mamia ya wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Bashay
kilichoko wilayani Karatu wamepambana na polisi kwa kuwarushia mawe kwa
kile walichodai kuishinikiza Serikali kuweka matuta katika Barabara ya
Karatu hadi Ngorongoro.
Tukio hilo lililotokea saa 4 asubuhi baada ya
watoto wawili Priska John(5) na Happiness Filbert (5) walipogongwa na
gari wakati wakivuka barabara ambapo mmoja
↧