Chama cha mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kinashangazwa na
kitendo cha chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)kutumia Helikpota
kwenye chaguzi zake huku kikidai kuwa ni mkombozi wa wananchi jambo
ambalo ni kujitafutia sifa na umaarufu pekee kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Naibu Katibu mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu waziri
wa fedha Mwigulu Nchemba wakati akifungua rasmi
↧