HELIKOPTA ya Chadema maarufu kama Chopa, juzi ilipotea angani na
kusababisha viongozi wa chama hicho kushindwa kufanya mkutano katika
Kijiji cha Mpwayungu wilayani Chamwino, kama ilivyokuwa imepangwa kwenye
ratiba.
Kwa mujibu wa ratiba iliyokuwa imepangwa, viongozi wa kitaifa ambao
ni Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Umoja
wa Vijana (BAVICHA), walikuwa
↧