MKUTANO Mkuu wa Kijiji cha Olgilai wilayani Arumeru umeazimia kuwachapa
viboko vijana wa kiume wanaovaa suruali chini ya makalio pamoja na
wanawake wanaovaa sketi fupi na suruali zinazobana. Azimio hilo pia
limeelekezwa kwa wanafunzi wanaopata mimba au kuozeshwa na kuacha masomo
bila sababu za msingi.
Mkutano huo umepitisha maazimio saba yanayolenga kurejesha nidhamu
na heshima
↧