Kila
Mtanzania bila kujali kama ni mtoto, mzee au mfanyakazi anadaiwa Sh.
600,000 miongoni mwa watu milioni 45 raia wote wa Tanzania.
Hali hiyo inatokana na kuongezeka kwa deni la Taifa kufikia Dola za
Marekani bilioni 17.10 (Sh. trilioni 27.04 hadi kufikia Desemba mwaka
jana.
Kwa mtumishi wa serikali anayelipwa kima cha chini cha Sh. 150,000 kwa
mwezi atatakiwa kulipa deni kwa
↧