MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman
Mbowe na wabunge wawili wa chama
hicho Mh. Halima Mdee na Peter Msigwa wameshikiliwa na na Jeshi la polisi mkoani Iringa kwa madai ya kuzidisha muda katika
mkutano wao wa jana.
Mbowe ambaye anaendelea na mikutano
ya kuimarisha Chama hicho katika mikoa mbliambali nchini, walitakiwa
kufanya mkutano mpaka saa 12
↧