Tanzania yatajwa kuwa na elimu ya kiwango cha chini zaidi ikilinganishwa na...
Tanzania imetajwa kuwa na elimu ya kiwango cha chini kulinganisha na nchi nyingine kwenye Jumuiya ya Afrika mashariki kutokana na kutenga masaa 5:27 pekee ya kufundisha wanafunzi wake ambayo nayo...
View ArticlePicha za kikongwe anayedhaniwa kuwa mchawi alivyokamatwa chumbani kwa mtu...
Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana kukutwa chumbani kwa mtu huku akiwa mtupu chumbani kwa mtu. Mpaka sasa bado haijajulikana...
View ArticleSad News: Askari watano wa jeshi la polisi mkoani Dodoma wafariki dunia papo...
Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP), Ernest Mangu ** Askari watano wa jeshi la polisi mkoani Dodoma wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria...
View ArticleBaba amuua mtoto kwa kumpiga na chupa ya bia kichwani baada ya zoezi la...
Baba aliyetajwa jina moja la Shaban (25), mkazi wa Kimara-Suka, Dar anadaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto wake asiye na hatia, Salma Shaban (miezi sita) kwa kumpiga na chupa ya bia kichwani na...
View ArticleDr. Nchimbi arudi Songea na kupokelewa kwa shangwe na wananchi... aomba...
MBUNGE wa Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi (CCM), amewataka madiwani na wananchi wa jimbo hilo kumpa ushirikiano wa dhati ili akamilishe ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita....
View ArticleUndani wa ajali ya gari iliyoua Askari Polisi watano papo hapo mkoani Dodoma...
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma **** Askari polisi watano mkoani Dodoma wamefariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya...
View ArticleWatanzania 100 wahukumiwa kunyongwa nchini China
ZAIDI ya Watanzania 100 waliopatikana na hatia ya kuingiza dawa za kulevya nchini China, wamehukumiwa kunyongwa. Habari za kuaminika zilizolifikia gazeti hili zimesema, idadi hiyo ya Watanzania...
View ArticleRais Kikwete kuhutubia taifa kesho kutoka jijini Mbeya
Rais Jakaya Kikwete, kesho atahutubia taifa akiwa mkoani Mbeya. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana Dar es Salaam ilisema Rais hatatoa hotuba ya mwisho wa mwezi, badala yake atahutubia taifa kesho kutoka...
View ArticleCHADEMA wafanya fujo msibani, Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya
Polisi mjini Musoma wametumia mabomu ya machozi kudhibiti ghasia zilizoibuka, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na mbunge wa zamani wa Musoma Mjini, Vedastus Mathayo. Walifanya fujo juzi jioni...
View ArticleJokate amfanyia "suprise" Wema Sepetu wakati akikata mauno jukwaani
Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo Mshindi alikua ni Wema Sepetu akifatiwa na Jokate kisha mshindi wa tatu akiwa Lissa Jensen. Vichwa vya...
View ArticleWilfred Lwakatare amponda Mwigulu Nchemba .....Adai kuwa kitendo cha Mwigulu...
Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, amemwelezea Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kuwa mmoja wa watu wasiojua mahesabu kutokana na kauli yake kwamba chama hicho kinatumia...
View ArticleWasaliti na wakaidi sasa basi...CCM nayo yatangaza kunyoosha makucha yake kwa...
Chama Cha Mapiduzi (CCM), kimetishia kuwatimua mara moja, wanachama wasaliti na wasiokubali kushindwa wakati wa kura za maoni za kuwania kuteuliwa ili kugombea urais, ubunge na udiwani. Tishio hilo...
View ArticleTaarifa maalumu kwa wanaotaka kufanya mtihani wa kidato cha nne na maarifa 2014
Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwakumbusha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi...
View ArticlePicha za Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Kikwete alipowasili jijini Mbeya jana...
Mwenyekiti wa chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Viongozi mbalimbali wa chama,Serikali,na viongozi wa dini na watu mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kumpokea mara baada kuwasili jana...
View ArticlePicha za mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipoongoza matembezi ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye...
View ArticleUfungaji wa viti kwa ajili ya matumizi ya bunge la katiba wakamilika.... Hizi...
Mhe Spika Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya ukumbi huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah wa Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa...
View ArticleCCM yavuana wasanii kibao walioamua kujiunga na chama hicho jijini Mbeya...
Chama cha mapinduzi CCM leo kimevuna makumi ya wasanii wa Bongo movie na Bongo Fleva ambao leo wameamua kuvunja ukimya wao na kujiunga na siasa rasmi.. Wasanii hao wamejiunga...
View ArticleRais Kikwete avunja ukimya kuhusu Mawaziri Mizigo....Ampongeza Kinana kwa...
NA BASHIR NKOROMO, MBEYA MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri waliotuhumiwa na wananchi kuwa mizigo wakati wa ziara za Katibu Mkuu wa CCM,...
View ArticleCCM yashinda ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la KiembeSamaki ambalo...
Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe. Mahmuod Thabit Kombo, akizungumza na Waandishi wa habari na kutoa shukrani kwa wapiga kura wake na WanaCCM waliomuunga mkono katika...
View ArticleAskari watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Dodoma waagwa leo kwa...
Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi. Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa...
View Article