Tanzania imetajwa kuwa na elimu ya kiwango cha chini kulinganisha na
nchi nyingine kwenye Jumuiya ya Afrika mashariki kutokana na kutenga
masaa 5:27 pekee ya kufundisha wanafunzi wake ambayo nayo hayatumiki
ipasavyo kutokana na asilimia 50 ya walimu kutoingia madarasani.
Miongoni mwa masaa yanayotumika kufundisha wanafunzi hao ni robo ya
masaa yaliyotengwa na hivyo kutishia nguvu kazi
↧