Gari
ndogo aina ya Toyota Corolla lenye nambari za Usajili T 379 AGL,likiwa
ndani ya Mtaro mara baada ya kupoteza mwelekeo likiwa kwenye Mwendo
mkali.
Tukio hilo limetokea mchana huu katika Barabara ya Migombani kama
unaelekea Makao Makuu ya Kampuni ya simu za Mikononi ya Zantel.
Ndani ya
Gari hii kulikuwa na watu watatu ambao majina yao hayakuweza kufahamika
kwa haraka kutokana
↧