Polisi
mjini Musoma wametumia mabomu ya machozi kudhibiti ghasia zilizoibuka,
baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na mbunge wa zamani wa Musoma
Mjini, Vedastus Mathayo.
Walifanya fujo juzi jioni baada ya mjumbe huyo wa Halmashauri Kuu ya CCM
(NEC) kudaiwa kuingilia safari ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad
Slaa ya kwenda kwenye msiba wa Sheikh wa Mkoa wa Mara Athumani
↧