Rais Jakaya Kikwete, kesho atahutubia taifa akiwa mkoani Mbeya. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana Dar es Salaam ilisema Rais hatatoa
hotuba ya mwisho wa mwezi, badala yake atahutubia taifa kesho kutoka
mjini Mbeya ambako atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu iliyoanza
jana.
Pamoja na mambo mengine atashiriki kwenye maadhimisho ya miaka 37 ya CCM.
<!-- adsense -->
↧