Lady Jaydee aomba talaka yake, Gadner ashtuka, asimulia kisa kizima
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita...
View Article"Nikifa leo au kesho, ninaomba niagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar ili kila mtu...
Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar.. Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema...
View Article"Sina mpango wa kuacha kutembea na waume za watu kwa kuwa dini yangu...
MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu....
View ArticleRais Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM mwaka 2015 kwa kuwakemea...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameingilia kati vita ya kuwania urais mwaka 2015 kwa kukemea kwa baadhi ya makada wa chama hicho kuanza kampeni mapema. Kadhalika, ameziagiza Kamati za Maadili...
View ArticleMchungaji Christopher Mtikila anusurika kuuawa baada ya kushambuliwa na watu...
Kiongozi wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amenusurika kifo na mtu mwingine aliyetambuliwa kwa jina moja la Mikidadi, ambaye yupo mahututi katika Hospitali ya Temeke, baada...
View ArticleWatu 379 waambukizwa Virusi Vya Ukimwi mkoani Iringa kati ya mwezi wa 10 na...
Mstahiki meya wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akifungua kikao kwa maombi katika baraza la madiwani lilofanyika mwishoni mwa wiki kushoto ni naibu meya Gervas Ndaki na kulia...
View Article"Rais hataidhinisha mamilioni ya wabunge ( ongezeko la kiinua mgongo cha...
Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali kuidhinisha kama akipelekewa ombi la kuongeza kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh43 milioni hadi Sh160 milioni. Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva...
View ArticleClub ya usiku ya nyimbo za Injili yafunguliwa maeneo ya Mbezi Tangibovu...
Imezoeleka kuwa klabu za usiku zimekuwa zikitumika kwa mambo ya starehe huku viongozi wa dini wakizichukulia kama maeneo hatari kwa waumini wao. Tofauti na maeneo mengine ya starehe, klabu za usiku...
View ArticleMvua kubwa yenye upepo yaharibu nyumba zaidi ya 10 Ilolo jijini mbeya
Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake Kanisa la Moravian Ilolo likiwa limejaa maji ndani Hakika inasikitisha watoto hawa wametoka...
View ArticleKipigo chatokea kati ya CCM na CHADEMA wilayani Njombe
KIKOSI cha ulinzi cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilayani Njombe, mkoani Iringa kimewashushia kipigo wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumvunja taya mwanachama, Ally Kalonga....
View ArticleLOWASSA ni tishio ndani ya CCM
PATASHIKA nguo kuchanika ni kauli ya kibabe inayoweza kutumika kuelezea sakata la siasa za makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) linaloshika kasi huku baadhi ya wanachama wakitupiana lawama kwa...
View ArticleWaziri Nyalandu Asema; Tutawalipa askari kabla ya operesheni ya pili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema askari 2,000 waliounda kikosi maalumu cha Operesheni Tokomeza Ujangili watalipwa fedha zao kabla ya kuanza kwa awamu ya pili ya operesheni hiyo....
View ArticleRais Kikwete aikazia macho TAKUKURU
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini....
View ArticleTBS yahakikisha kuwa Operesheni ya mitumba ni ya kisheria
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limesema linatekeleza operesheni ya kuondoa nguo za ndani za mitumba kwa kufuata sheria, si kwa ajili ya kuwanufaisha wafanyabiashara wa maduka nchini. Akizungumza...
View ArticleRais Kikwete apokea hundi ya sh. milioni 100 kutoka CRDB kusaidia wahanga wa...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko...
View ArticleZaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya zakamatwa bahari ya Hindi.....
Wakati Tanzania ikielezwa kichochoro cha kupitishia dawa za kulevya, raia 12 wa Pakistan na Iran, wamekamatwa na zaidi ya kilo 201 za shehena ya dawa za kulevya katikati ya Dar es Salaam na Zanzibar...
View ArticleMgomo na vurugu za wanafunzi wa shule ya St Anne Marie Academy ya jijini Dar...
VURUGU zilizofanywa juzi katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St Anne Marie Academy, jijini Dar es Salaam, zimesababisha hasara ya Sh milioni 140 kutokana na mali zilizoharibiwa. Kutokana na vurugu...
View ArticleWanawake washauriwa kuacha kutumia sabuni za Kaisiki kurudisha BIKRA zao...
WANAWAKE wameshauriwa kuacha kutumia sabuni za kunawia sehemu za siri ambazo hudaiwa kurejesha ubikira kwani zina madhara makubwa ikiwemo kusababisha kansa ya shingo ya kizazi. Mkaguzi wa Dawa na...
View ArticleJeshi la Polisi mkoani Arusha latangaza kumsaka mbunge Godbless Lema kwa kosa...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa...
View ArticleKagame wa Rwanda aichokonoa tena Tanzania....Sasa amgeukia Benard Membe,...
GAZETI la The New Times Rwanda ambalo linatajwa kuwa mshirika wa karibu wa Serikali ya Rais Paul Kagame, nalo limeingia kwenye propaganda za kuwachafua baadhi ya viongozi wa Tanzania. Baadhi ya vyombo...
View Article