Imezoeleka kuwa klabu za usiku zimekuwa zikitumika kwa mambo ya starehe huku viongozi wa dini wakizichukulia kama maeneo hatari kwa waumini wao.
Tofauti na maeneo mengine ya starehe, klabu za usiku huwa na kumbi za muziki zenye taa za kumweka za rangi mbalimbali huku giza likitawala. Wakati huo huo muziku hupigwa kwa sauti ya juu.
Mbali na muziki, klabu hizo husheheni vileo vya kila aina
↧