Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali kuidhinisha kama
akipelekewa ombi la kuongeza kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh43
milioni hadi Sh160 milioni.
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu
alisema jana kuwa Rais Kikwete hajapokea maombi hayo huku akipinga
maelezo kuwa Serikali ilishayakubali.
Gazeti la The Citizen wiki iliyopita,
lilimkariri Waziri wa Fedha,
↧