RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki
iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, Rais Kikwete
alisema endapo vyombo hivyo vitafanya kazi yao ya upelelezi kwa haraka,
uendeshaji wa kesi utaharakishwa na hukumu kutolewa
↧