WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema askari 2,000
waliounda kikosi maalumu cha Operesheni Tokomeza Ujangili watalipwa
fedha zao kabla ya kuanza kwa awamu ya pili ya operesheni hiyo.
Nyalandu alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, kusema kuna
zaidi ya askari 2,000 waliounda kikosi maalumu
↧