PATASHIKA nguo kuchanika ni kauli ya kibabe inayoweza kutumika
kuelezea sakata la siasa za makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
linaloshika kasi huku baadhi ya wanachama wakitupiana lawama kwa kuunga
mkono upande fulani kuelekea mbio za urais hapo mwakani.
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa, waziri mkuu
↧