SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limesema linatekeleza operesheni ya
kuondoa nguo za ndani za mitumba kwa kufuata sheria, si kwa ajili ya
kuwanufaisha wafanyabiashara wa maduka nchini.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, Ofisa Habari wa shirika hilo,
Roida Andusamile, alisema zoezi hilo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria
na limehusisha wadau wa idara zote.
Alisema ni muhimu
↧