Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni
100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba
wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi
uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam
February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia
↧