Wakati Tanzania ikielezwa kichochoro cha kupitishia dawa za kulevya,
raia 12 wa Pakistan na Iran, wamekamatwa na zaidi ya kilo 201 za shehena
ya dawa za kulevya katikati ya Dar es Salaam na Zanzibar katika Bahari
ya Hindi zenye thamani ya mamilioni ya fedha.
Jeshi la Polisi limesema kuwa watu hao walikamatwa na dawa hizo wakiwa katika jahazi.
Kukamatwa kwa kiasi hicho kikubwa cha
↧