JWTZ yapewa jukumu jipya nchini Kongo la kuwasambaratisha waasi wengine wa...
VIKOSI vya Tanzania vinavyolinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), chini ya mwavuli wa Umoja wa Mataifa (Monusco), vimepewa jukumu jipya la kuwasambaratisha waasi wa kundi la Allied...
View ArticleSad News: Basi la Zuberi lapinduka na kuua wanne papo hapo...Chanzo cha ajali...
Hii ni picha ya maktaba ( si ya tukio la leo ) ** BASI la Zuberi lenye namba T119 AA2 limepata ajali mbaya katika kijiji cha Nkuhi wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida na watu wanne wameripotiwa kufa...
View ArticleAjira: Utaratibu wa kujiunga na jeshi la polisi kwa wahitimu watarajiwa wa...
Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo...
View ArticleNaibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba azungumza na TRA na kutoa...
Na Habari Kwanza Blog — Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba hii leo asubuhi (Tar. 05/02/2014) amekutana na Watendaji/Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hazina Ndogo na...
View ArticleTaarifa ya Wizara ya fedha kukanusha malipo ya milioni 160 kwa wabunge...
TANGAZO KWA UMMA Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya magazeti yamekuwa yakitoa taarifa za upotoshaji juu ya suala la kuongezeka kwa malipo ya pensheni kwa Waheshimiwa Wabunge. Magazeti hayo yanadai...
View ArticleTaarifa ya kukatika kwa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom- Tanzania
Dar es Salaam, 5 Februari, 2014.Tunapenda kuwaomba radhi wateja wetu wote kwa kushindwa kutoa huduma za mawasiliano kuanzia asubuhi ya Februari 5, 2014. Hii imetokana na kukatika kwa mkonga wa...
View ArticleMkuu wa jeshi la polisi nchini, IGP Ernest Mangu afanya mabadiliko ya baadhi...
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa...
View ArticleMbunge wa CHADEMA, Diwani wake na wanachama 14 wafikishwa mahakamani kwa...
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki (Chadema), Sylvester Kasulumbayi na Diwani wa Kata ya Buselesele, Crispian Kagoma na watu wengine 14 wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kujeruhi katika vurugu...
View ArticleZitto Kabwe aibuka na DVD
WAKATI Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akijipanga kuanza ziara katika mikoa kadhaa nchini kujibu mapigo ya tuhuma dhidi yake zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na...
View ArticlePolisi 8 watuhumiwa kumtesa mahabusu mwanamke kwa kumvua nguo na kumwingizia...
ASKARI Polisi saba wa kiume na mmoja wa kike, wanakabiliwa na tuhuma za kumtesa mahabusu mwanamke kwa kumvua nguo na kumwingizia chupa ya bia katika sehemu za siri. Akizungumza mbele ya Hakimu Mkazi...
View ArticleMbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema akamatwa na jeshi la Polisi na...
Mbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha na kisha kuachiwa baada ya mahojiano ya masaa kadhaa.... Lema alikamatwa ili kuhojiwa kuhusu...
View ArticleHabari kamili kuhusu vurugu kubwa za wakulima zilizotokea eneo la Melela,...
MABOMU ya machozi yalitumika leo mchana kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel...
View ArticleMBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa afikishwa mahakani...
Na Francis Godwin, Iringa MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Iringa akituhumiwa kwa kosa la kujeruhi katika kampeni za...
View ArticleRais Kikwete afungua mkutano wa baraza la vyama vya siasa jijini Dar leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini...
View ArticleMtuhumiwa amuua askari polisi kwa kumpiga jiwe
Askari polisi F. 5264 PC Sabato (37) wa Kituo cha Polisi cha Longido, wilayani Monduli, ameuawa kwa kupigwa jiwe na mtuhumiwa aliyekuwa akimpeleka mahabusu katika Gereza la Kisongo. Kamanda wa...
View ArticleKitale wa bongo movie amkata mapanga adui yake na kutenganisha kichwa na...
Maigizo mengi sana nchini huwa yanalalamikiwa kukosa uhalisia wa tukio,hebu tumia dakika zako chache kuangalia namna picha hizi zilivyochanganywa ambazo zinamuonyesha Kitale kama kamkata kichwa huyo...
View ArticleMwanamke adondoka ghafla jijini Mwanza akiwa njiani kuelekea kwa mganga wa...
Baadhi ya vitu alivyokuwa navyo Sharon: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Sharon Justice Laiza, mkazi wa Kilimahewa jijini Mwanza amefariki dunia katika mazingira ya...
View ArticleBaada ya Malawi kutangaza kuwa baadhi ya vijiji vya Tanzania ni mali ya...
JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema haliogopi vitisho vya aina yoyote vinavyotolewa na Serikali ya Malawi kutokana na mgogoro uliopo. Hatua hiyo imetokana na viongozi waandamizi wa Serikali...
View ArticleBunge la Katiba kuanza Februari 18, Rais Kikwete kutangaza majina leo
Rais Jakaya Kikwete jana alitangaza rasmi kuwa Bunge la Katiba litaanza Februari 18, mwaka huu. Aidha, alisema kuwa atatangaza majina ya wajumbe wa Bunge hilo leo. Akizungumza kwenye kikao maalumu cha...
View ArticleMwanaume afumaniwa na mke wa mtu wakifanya uchafu ndani ya gari bovu
Arobaini (40) za mke wa mtu zimetimia baada ya kunaswa ndani ya gari akifanya uzinifu na kijana mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ aliyejitambulisha kwa jina la Athumani (26) maeneo ya Bamaga Mwenge, jijini...
View Article