Na Habari Kwanza Blog — Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba hii leo asubuhi (Tar. 05/02/2014) amekutana na Watendaji/Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hazina Ndogo na Wahakiki Mali za Serikali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kufahamiana nao, pia kuzungumza nao kuhusu uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato nchini, msimamo wa Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD kwenye
↧