Maigizo mengi sana nchini huwa yanalalamikiwa kukosa uhalisia wa
tukio,hebu tumia dakika zako chache kuangalia namna picha hizi
zilivyochanganywa ambazo zinamuonyesha Kitale kama kamkata kichwa huyo
jamaa.
Kwa haraka haraka unaweza kudhani kweli lakini bado jina la
movie hii halijajulikana ingawa kwa kisehemu hiki kinaonyesha kama ni movie inayoongea
na vitendo zaidi,lakini
↧