Baadhi ya vitu alivyokuwa navyo Sharon:
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Sharon Justice Laiza, mkazi wa Kilimahewa jijini Mwanza amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kudondoka ghafla akiwa njiani kueleakea kwa mgonga wake aishiye Kiseke, Ilemela Mwanza...
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo lililotokea juzi saa kumi
↧