JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema haliogopi vitisho vya
aina yoyote vinavyotolewa na Serikali ya Malawi kutokana na mgogoro
uliopo. Hatua hiyo imetokana na viongozi waandamizi wa Serikali ya
Malawi, kutangaza baadhi ya vijiji vya Tanzania vilivyopo kilomita 10
kutoka mpakani mwa Ziwa Nyasa kuwa ni mali yao.
Hatua ya JWTZ
imekuja siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete
↧