Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake kwenye
ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama
mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya
Siasa leo Februari 6, 2014
↧