MABOMU ya machozi yalitumika leo mchana kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela,
Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa -
Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende
kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji.
Wakulima hao walikuwa wakidai kuwa wenzao watano jana walivamiwa na wafugaji
wa kabila la Wamasai na kuwajeruhi
↧