Mbunge wa Arusha Mjini Chadema, Godbless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha na kisha kuachiwa baada ya mahojiano ya masaa kadhaa....
Lema alikamatwa ili kuhojiwa kuhusu
malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi
wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa
walijeruhiwa.
<!-- adsense -->
↧