WAKATI Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,
akijipanga kuanza ziara katika mikoa kadhaa nchini kujibu mapigo ya
tuhuma dhidi yake zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye ziara ya Operesheni M4C Pamoja
Daima, mbunge huyo ameibuka na DVD inayowananga viongozi wa CHADEMA.
Vyanzo vyetu vya habari vilisema kuwa DVD hizo zitasambazwa
↧