Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki (Chadema), Sylvester
Kasulumbayi na Diwani wa Kata ya Buselesele, Crispian Kagoma na watu
wengine 14 wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kujeruhi katika vurugu
zilizoibuka katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani wilayani Kahama
mkoani Shinyanga.
Kasulumbayi na wenzake 15, ambao wanaaminika kuwa
wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
↧