Dar es Salaam, 5 Februari, 2014.Tunapenda kuwaomba
radhi wateja wetu wote kwa kushindwa kutoa huduma za mawasiliano kuanzia
asubuhi ya Februari 5, 2014. Hii imetokana na kukatika kwa mkonga wa
mawasiliano ulioko barabara ya Morogoro na nyingine mbili za ziada
zilizoko Mlalakuwa na Mayfair plaza barabara ya Mwai kibaki jijini Dar
es Salaam.
Kukatika kwa Mkonga huo kumesababisha
↧