VIKOSI vya Tanzania vinavyolinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(DRC), chini ya mwavuli wa Umoja wa Mataifa (Monusco), vimepewa jukumu
jipya la kuwasambaratisha waasi wa kundi la Allied Democratic
Forces-NALU (ADF-Nalu). Hatua hiyo inakuja baada ya vikosi vya Tanzania
vilivyopo nchini humo, kufanikiwa kuwasambaratisha waasi wa kundi la M23
mwishoni mwa mwaka jana.
Waasi wa
↧