GAZETI la The New Times Rwanda ambalo linatajwa kuwa mshirika
wa karibu wa Serikali ya Rais Paul Kagame, nalo limeingia kwenye
propaganda za kuwachafua baadhi ya viongozi wa Tanzania.
Baadhi
ya vyombo vya habari vya nchi hiyo, vimekuwa vikitumika kumchafua Rais
Jakaya Kikwete, ambapo wiki iliyopita gazeti la News of Rwanda
liliandika taarifa iliyodai kuwa Rais wa Tanzania amekutana na
↧