Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta Mbunge wa Arusha
Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu
malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi
wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa
walijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas
alisema jana ofisini
↧