Hii ni picha ya maktaba ( si ya tukio la leo )
**
BASI
la Zuberi lenye namba T119 AA2 limepata ajali mbaya katika kijiji cha
Nkuhi wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida na watu wanne wameripotiwa kufa
papo hapo kwa kukatwa vichwa huku majeruhi wengi wakiwa wameumia vibaya
sehemu mbalimbali za mwili.
Akizungumza kutoka eneo la tukio leo mchana huu, mwandishi wa habari,
Nathanieli
↧