Arobaini (40) za mke wa mtu zimetimia baada ya kunaswa
ndani ya gari akifanya uzinifu na kijana mmoja mtanashati ‘Sharobaro’
aliyejitambulisha kwa jina la Athumani (26) maeneo ya Bamaga Mwenge,
jijini Dar.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane Februari 4, baada ya mke huyo
aliyetambulika kwa jina moja la Husna na sharobaro wake kujiingiza
kwenye mtego na kunasa wazimawazima.
Mara
↧