Msanii
wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani)
anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake
Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake kwa mara ya
kwanza Februari 17, mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania, Kanda ya
Dar es Salaam.
Kwa
mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia,
iliyotolewa
↧